Zuwena Lyrics | Diamond Platnumz

0

Zuwena is a new viral African (Swahili) song by popular singer Diamond Platnumz published by Diamond Platnumz Channel. Find the proper lyrics of Zuwena song.

Zuwena Song Details:

SongZuwena
AlbumDiamond Platnumz
SingerDiamond Platnumz
LyricsDiamond Platnumz
MusicDiamond Platnumz
LabelDiamond Platnumz
Artist Diamond Platnumz
Language African (Swahili)
Songs GenreMorden Song, English Song
Released DateFeb 3, 2023
Zuwena Song Details

Zuwena Song Lyrics

Start of the Lyrics

Mhhh!! Habari Gani Kaka Naamini Unanisikia
Mimi Mzima Wa Afya, Mama Mungu Anasaidia
Toka Ulipotuacha Mahututi Anazidiwa
Bibi Presha Presha Nae Akatangulia

Bado Twakuombea Ulale Salama Pema
Japo Moyoni Nina Dukuduku
Natamani Kusema, Nisemeee
Zile Mali Husia Ulizotuhusia Tuligawa Salama
Zuwena Zote Tukampatia Tusiwe Ndugu Lawama
Ila Zuwena Kaka Amebadilika Sana
Yaani Shem Lake Bi Zuuh Wa Leo Sio Yule Wa Jana

Natamani Ungemuona (Zuwena)
Japo Ungemuona (Zuwena)
Kidogo Tu Ungemuona (Zuwena)
Ungemuona (Zuwena)
Ooooh Ungemuona (Zuwena)
Aaaah Zuwena (Zuwena)
Ooooh Ungemuona Zuwena (Zuwena)
Zuwena Oooh (Zuwena)

Mhhh! Zuwena Sasa Kawa Chotara
Sio Tena Cheusi Mangala
Ngozi Kaichubua Awe Muzungu
Anavuta Na Sigara
Mara Boko, Mwananyamala
Anachezesha Tu Miamala
Kutwa Anaisugua Kipepе Rungu Tena Peku Bila Ndala

Aaah Zuwena Siku Hizi Anabandika Kopе (Zuwena)
Zuwena Mipasuo Kama Yote (Zuwena)
Ooh Zuwena Lipa Shika Tuondoke (Zuwena)
Aah Zuwena Wanamuita Cha Wote, Oh!, Oh!
Juzi Kabebwa Na Majirani Hata Hajitambui (Zuwena)
Yaani Kalewa Tafarani Kautwika Mbwi (Zuwena)

Zuwena Sio Tena Wa Ibada Na Dini
Sadaka Chenji Asaidie
Siku Hizi Kageuka Pedeshee Wa Mjini
Kutunza Bendi Wamsifie
Na Lile Gari Lako Urithi Wa Babu La Kulishia Ng’ombe
Siku Hizi Kama Kwato Kwenye Vilabu Linabebea Pombe
Mama Dede Kitandani Hawezi Hata Kutembea
Zuwena Ameshindwa Hata Kuja Kumuona Panadol Kumletea

Natamani Ungemuona (Zuwena)
Japo Ungemuona (Zuwena)
Kidogo Tu Ungemuona (Zuwena)
Ungemuona (Zuwena)
Ooooh Ungemuona (Zuwena)
Aaaah Zuwena (Zuwena)
Ooooh Ungemuona Zuwena (Zuwena)
Zuwena (Zuwena)

Siku Hizi Kataradadi
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda
Anajiita J-Lo
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda
Eti Mzungu Mweusi
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda
Anatunyoosha Baba
Anadanga Anakula Ndizi Kwa Maganda

End The Lyrics

Also Read: Love Again Lyrics

Zuwena Official Video

Also Read: Can’t Tame Her Lyrics

Opinion

These are the lyrics for the latest song Zuwena by popular artists Diamond Platnumz.

Comment below if you have any suggestions regarding the lyrics your comments are appreciable as it helps us to provide more content in the future.

Leave a comment

Adblocker detected! Please consider reading this notice.

We've detected that you are using AdBlock Plus or some other adblocking software which is preventing the page from fully loading.

We don't have any banner, Flash, animation, obnoxious sound, or popup ad. We do not implement these annoying types of ads!

We need money to operate the site, and almost all of it comes from our online advertising.

Please add traplyrics.com to your ad blocking whitelist or disable your adblocking software.

×