Tajiri Lyrics

Tajiri Lyrics – Lava Lava

Tajiri is a new Swahili song by popular singer Lava Lava published by Lava Lava Channel. Find the proper lyrics of Tajiri song.

Tajiri Song Details:

SongTajiri
AlbumLava Lava
SingerLava Lava
LyricsLava Lava
MusicLava Lava
LabelLava Lava
Artist Lava Lava
Language Swahili
Songs GenreMorden Song
Released DateJun 30, 2023

Tajiri Song Lyrics

Start of the Lyrics

We Ni Mtu Muhimu
Nikiwa Nawe Najipata
Halo Halo Halo
Halo Halo Halo
Halo Halo Halo
Halo Halo Halo

Afadhali Nimekuona
Afadhali Tumeonana
Afadhali Nimekuona
Afadhali Tumeonana
Nilikaa Kinyonge Sana
Tajiri Huna Adui Tajiri
Wacha Niagize Pombe Nyama
Tajiri Huna Adui Tajiri
Na Bebe Zinletee Savana
Tajiri Huna Adui Tajiri
Tajiri Atalipa Bwana
Tajiri Huna Adui Tajiri
Nilikupigia Simu Chaji Ikakata
Nikakutilia Timu Mjengoni Sijakupata
Akili Ikaruka Wazimu
Ntakulaje Bata

We Ni Mtu Muhimu
Nikiwa Nawe Najipata
Halo Halo Halo
Halo Halo Halo
Halo Halo Halo
Halo Halo Halo

Kwanza Haunaga Mapozi
Hauna Mbambamba
Haunaga Mamluki
Hauna Mbambamba
Ukifa Hauozi
Hauna Mbambamba
Ukioza Haunuki
Tulikaa Kinyonge Sana
Tajiri Huna Adui tajiri
Wacha Niagize Pombe Nyama
Tajiri Huna Adui Tajiri

Na Bebe Zinletee Savana
Tajiri Huna Adui Tajiri
Tajiri Atalipa Bwana
Tajiri Huna Adui Tajiri
Hasa Mwaga Note Mwaga Mwaga
Tajiri Mwaga Mwaga
Hasa Mwaga Note Mwaga Mwaga
Tajiri Mwaga Mwaga
Eeeh Mwaga Note Mwaga Mwaga
Nasema Mwaga
Eeeeeh Mwaga Mwaga
Jamani Mwaga

End The Lyrics

Also Read: Nakupenda Lyrics

Tajiri Official Video

Also Read: Fighidi Flow Lyrics

Opinion

These are the lyrics for the latest song Tajiri by popular artist Lava Lava.

Comment below if you have any suggestions regarding the lyrics your comments are appreciable as it helps us to provide more content in the future.

Share your love

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *